skip to main
|
skip to sidebar
Msanii AkiliMingi anakuja na ngoma "NAFURAHI"
akiwa amemshirikisha mwana Jambo Squad Jogoo Kichaa aka Dunia,au
maarufu zaidi kama Ordinally Odii na mkono huu wa dancehall ni special
kwa fans wote wa AkiliMingi na Ordinally JamboSquad umepikwa studio za
Noizmekah Arusha
